Tuesday, March 19, 2013
Wednesday, March 13, 2013
TUCHEKE KIDOGO LEO....!
Msikie mwehu huyu!! kuna jamaa alienda kwa
rafiki yke kupiga story mara mvua kubwa ikanyesha mshkaj akabidi amwa
rafiki yke usijali utalala hata hapa sebuleni kwa kuwa mvua kubwa jamaa
akasema poa nitalala usjali,
mwenyej alipoingia chumbani kwake kulala km dakka kumi akatoka chumbani akamkuta rafiki yke amelowa chapachapa alipomuuliza "vp mbona hvyo"? jamaa akajibu "nilienda kuchukua shuka nyumbani". WE UNGEMFANYEJE KAMA ANGEKUWA RAFIKI YKO?
mwenyej alipoingia chumbani kwake kulala km dakka kumi akatoka chumbani akamkuta rafiki yke amelowa chapachapa alipomuuliza "vp mbona hvyo"? jamaa akajibu "nilienda kuchukua shuka nyumbani". WE UNGEMFANYEJE KAMA ANGEKUWA RAFIKI YKO?
PICHA ZA WASANII WASTARA AKIAGWA AIRPORT BAADA YA TAMKO LAKE LA KWENDA KUPUMZIKA UARABUNI BAADA YA MISUKOSUKO MINGI
WASTARA
Juma amabaye ni mke wa marehemu Juma Kilowoko “Sajuki” Jumpili jioni
alisindikizwa na ndugu na jamaa katika uwanja wa ndege wa Kimataita wa
Mwalimu Nyerere katika safari yake ya kuelekea Oman.
Wastara
ambaye amekwenda Oman kwaajili ya mapumziko ya miezi miwili ikiwa ni
pamoja na kumaliza eda ya mumewe alipelekea huzuni nyingi kwa watu
waliomsindikiza kuanzia nyumbani hadi Airpot.
Zifuatazo ni picha mbali zilizopigwa nyumbani, barabarani na uwanja wa ndege zikimuonyesha Wastara katika pilika za safari hiyo.
Tuesday, March 12, 2013
HUYU NDIO BIBI ALIYEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA ALIZOZIFICHA KICHWANI.
.
Alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abuja akiwa anaelekea Pakistan kwa kupitia Addis Ababa na Dubai ambapo pia aliemsindikiza Uwanja wa ndege amekamatwa, ni Joseph mwenye umri wa miaka 59.
Bibi huyo ambae anaonekana jasiri, imefahamika alishawahi kuhudhuria shule ya Fashion na maswala ya nywele huko Lagos mwaka 1994.
Sunday, March 10, 2013
RAIS KENYATTA ATAJWA KUWA TAJIRI MKUBWA AFRIKA

Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta ndio rais tajiri zaidi barani Afrika. Kenyatta alikamata nafasi ya 26 mwaka 2011 kwenye orodha ya watu matajiri zaidi barani Afrika kwa kuwa na utajiri unaofikia dola milioni 500.
Uhuru na familia yake wanamiliki kampuni ya Brookside Dairies ambayo ni kubwa zaidi nchini Kenya kwa utengenezaji wa maziwa na pia ana hisa nyingi kwenye kituo cha TV cha K24 pamoja na benki moja kubwa ya biashara jijini Nairobi. Pia ana miradi mingine kibao
ISHU YA PICHA ZA JACK WA CHUZI LACHUKUA SURA MPYA
BAADA ya hivi karibuni msanii wa filamu, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ kunaswa akipelekwa kuuzwa kwa mwanaume, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla anadaiwa kuicharukia skendo hiyo ambapo juzikati alimvaa Rais wa Shirikisho la Filamu (TAFF), Simon Mwakifwamba na kumuuliza juu ya tukio hilo la aibu.
“Mhe. Makalla ndiye aliyekuwa mgeni rasmi, akiwa pale alimuuliza Mwakifwamba kuhusu hatua walizochukua kwa Jack Chuzi baada ya kuandikwa habari kuwa alinaswa akienda kuuzwa.
Baada ya kuzinyaka habari hizi Mwandishi wetu alimtafuta Mwakifwamba lakini hakuweza kupatikana mara moja ila Mike alipoulizwa juu taarifa za Mhe. Makalla kucharukia ishu ya Jack alisema:
Subscribe to:
Posts (Atom)








