Saturday, March 9, 2013

WOLPER KWA MARA YA KWANZA APIGA PICHA ZA UTUPU

     Hatimaye staa wa filamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti zake.

    Kunaswa kwa picha hiyo, kumevunja heshima ya staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa k*** wanaotamba katika tasnia ya filamu hapa Bongo.

3 comments:

  1. kwahiyo mtu hata akiwa anaogelea avae combat sio acheni upuuzi nilifikiri mtajadili namna ya kuwasaidia kuondoa umaskini kwa watanzania ....

    ReplyDelete
    Replies
    1. hapo umenenena niachieni dada angu khaaa kwahiyo nyie mnataka avae hata mabaibui akiwa anaogelea ?mtu yuko kwenye starehe zake msimuingilie @kwakuza magazeti huo ni ujinga sana tena upumbavu.na hapo aliitupia tuu kwenye instagramm mmkaipata na kuitupia ujinga huo mmekosa kazi nyie na mnaboa ...........dada yake mimi fanyanyako mwaya

      Delete
    2. sasa mlitaka aogelee na jeans acheni umburura nyie

      Delete