Thursday, February 28, 2013

BAADHI YA WACHEZA MUVI WANAOFANYA VIZURI KATIKA KUONEKANA WAREMBO



    Desturi ya kuvaa nguo za gharama na kali wakati wote,haitegemei sana uwezo wa mtu peke yake bali mapenzi ya mtu na utayar wa uvaaji wa pamba kali.
Kuna mastaa kibao nchini ambao licha ya kuwa na uwezo mzuri kifedha wameendelea kuvaa kawaida ila wapo baadhi ya wasanii ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuonekana warembo muda wote.

Hawa ni baadhi ya wasanii wa muvi ambao wanafanya vizuri katika kuonekana warembo;


Na huyu hapa ni Jackline Wolper



 

1 comment:

  1. nampenda Wolper kuliko Wema mana wema anabebwa na shepu yake lakin hamshind Wolper kwa kutupia

    ReplyDelete