Kama
tunavyojua chunusi hazitakiwi kusababisha makovu lakini ukitumbuaji au
kubadua chunusi kunasababisa makovu kwenye uso au mwili.
Kama
unamakovu ya chunusi kuna namna nyingi ya kuweza kuyaondoa makovu hayo
lakini treatment zake zinaweza kuwa na maumivu sana au za ghali sana
lakini kuna njia za kihalisia za kuweza kuondoa makovu hayo.
1.Paka bleach cream kwenye sehemu zenye makovu ambapo cream hii husaidia kuyangarisha makovu
2.Pia
unaweza kutumia kuondoa ngozi ya juu (Exfoliate) kwa kutumia facial
body scrub kwa sehemu zile zenye makovu lakini inategemea na sehemu gani
ya mwili. Uondoaji huu wa layer ya juu (Exfoliate) unaweza kufanya
angalau mara mbili kwa wiki.
3.Tumia product ambazo zina `hydroxy acids` hii acid hutokea kihalisia na hutibu ngozi yako na vile vile ngozi yako itaonekana younger and smoother, na makovu ya chunusi hupotea. Unaweza kupata hydroxy acids tofauti tofauti za skin care products kam vile cleansers, lotion na serums.
4.Pia
unaweza kumassage makovu ya chunusi kwa maana massage hushauriwa kwa
ajili ya mzunguko wa damu ambapo husaidia hufika katika sehemu zile
zenye makovu ambapo tunaambiwa massage pia husaidia sana kuvunja scar
tissue.
5.Vile
vile kuna diet za kufanya ambazo husaidia kuondoa makovu kwenye ngozi
ambapo unatakiwa kula vyakula vyenye vitamins na nutrition vinasaidia
kutengeneza ngozi yako kuwa na afya.Kama lishe yako sio nzuri ngozi yako
pia haitaweza kujitengeneza yenyewe (heal its self)na itakua ngumu
kuondoa makovu kwenye mwili.
6.
Waweza pia kutumia cream maalumu kwa ajili y akuondoa makovu mwilini na
crea hizi hupatikana sehuku nyingi na husaidia sana kuondoa makovu ya
chunusi.Unachotakiwa ni kufuata maelekezo ya cream unayotumia ambapo
utatakiwa kupata kwa muda kadhaa kwa muda wa wiki 12 kabla ya kuona
matokeo.
No comments:
Post a Comment