Tuesday, February 26, 2013

TCRA YAFUNGIA VITUO VIWILI VYA RADIO HUKU CLOUDS FM IKIPEWA ONYO KALI

 
Habari zilizotofikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba TCRA yafungia vituo  viwili.Vituo hivo ni Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita, huku Radio Clouds Fm kupitia kipindi chake cha power breakfast ikipewa onyo na kutakiwa kulipa Faini ya shilingi milioni 5 katika kipindi cha mwezi mmoja.

'kesheridhiwani blogspot' itakuletea taarifa kamili kinaga ubaga hasa sababu ilopelekea TCRA kuchukua maamuzi haya mazito.

No comments:

Post a Comment