Tuesday, February 26, 2013

[PICHA] GOLDIE HARVEY AKIZIKWA JANA


Goldie enzi ya uhai wake

 


Aliyekuwa mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, marehemu Goldie Harvey amezikwa jana huko Ikoyi, Nigeria. Mazishi hayo binafsi yamefanyika katika makaburi ya Vaults and Gardens yakihusisha familia na watu wa karibu.

Ona picha zaidi hapa chini:

Marehemu mwanamuziki Goldie alifariki alhamis ya Tarehe 14 mwezi huu akirejea kutoka Los Angeles, Marekani.
Mungu amlaze marehemu Goldie mahali pema peponi. Amen.

Picha kwa hisani ya LindaIkejiBlog.

No comments:

Post a Comment