Tuesday, February 26, 2013

RAY AFUNGUKA KUHUSU KUPUNGUA KWA MWILI WAKE

    Mkali wa filamu Bongo Vicenti Kigosi "Ray" ameamua kufunguka na kuelezea juu kupungua sana kwa mwili wake kufuatia habari mbalimbali za uzushi zinazoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari Hivi karibuni.

   Akizungumza kwa simu "Ray" amesema kupungua kwa mwili wake kunatokana na kufanya mazoezi ya viungo asubuhi na jioni kila siku pamoja na kujiweka fiti kwa ajili ya movie yake mpya anayoifanya sasa ambayo amesema itakuwa ni ya tofauti na kimapunduzi zaidi tofauti na watu walivyomzoea. Angalia Ray alivyo sasa hapo chini na tupe maoni yako.
:: Hatimaye "Ray" afunguka kukusu kupukutika kwa mwili wake::

Mkali wa @[540370425977454:274:BongoMovies] Vicenti Kigosi "Ray" ameamua kufunguka na kuelezea juu kupungua sana kwa mwili wake kufuatia habari mbalimbali za uzushi zinazoandikwa kwenya vyombo mbalimbali vya habari Hivi karibuni.

Akizungumza kwa simu "Ray" amesema kupungua kwa mwili wake kunatokana na kufanya mazoezi ya viungo asubuhi na jioni kila siku pamoja na kujiweka fiti kwa ajili ya movie yake mpya anayoifanya sasa ambayo amesema itakuwa ni ya tofauti na kimapunduzi zaidi tofauti na watu walivyomzoea. Angalia Ray alivyo sasa hapo chini na tupe maoni yako.

No comments:

Post a Comment