Monday, February 25, 2013

Q CHIEF BAADA YA MIAKA 5 HATIMAYE APIGA SHOW YA KWANZA NEW MAISHA CLUB

                                      
Msanii mkongwe nchini Abubakar Katwila aka Q chief jana alifanya show  ya kwanza katika NEW MAISHA CLUB jijini Dar es salaam.Katika show hiyo Q chief alisindikizwa na wasanii wenzie ambao ni pamoja na Beka,Kassim Mganga,Ally Nipishe..HIZI ni baadhi ya picha za show hiyo
BEKA
ALLY NIPISHE
HAPA AKIIMBA KWA HISIA

No comments:

Post a Comment