Wednesday, March 13, 2013

TUCHEKE KIDOGO LEO....!

     Msikie mwehu huyu!! kuna jamaa alienda kwa rafiki yke kupiga story mara mvua kubwa ikanyesha mshkaj akabidi amwa rafiki yke usijali utalala hata hapa sebuleni kwa kuwa mvua kubwa jamaa akasema poa nitalala usjali,
   mwenyej alipoingia chumbani kwake kulala km dakka kumi akatoka chumbani akamkuta rafiki yke amelowa chapachapa alipomuuliza "vp mbona hvyo"? jamaa akajibu "nilienda kuchukua shuka nyumbani". WE UNGEMFANYEJE KAMA ANGEKUWA RAFIKI YKO?

No comments:

Post a Comment