Saturday, May 4, 2013
MARIO BALOTELLI ATOSWA NA MCHUMBA YAKE BAADA YA KUMTOA SADAKA

MARIO Balotelli ameachwa na aliyekuwa mchumba Fanny Neguesha siku chache baada ya kuripotiwa kusema kwamba kikosi kizima cha Real Madrid kingeweza kulala nae ikiwa wangeitoa Borussia Dortmund.
Mwanamitindo Fanny, 22, aliondoka kwenye nyumba ya mshambuliaji huyo huko Italia baada ya kugombana kutokana kutoelewana baina ya wawili hao.
Straika huyo wa AC Milan Balotelli, 22, alisema wachezaji wote wa Madrid akiwemo Cristiano Ronaldo wangeweza kufanya mapenzi na demu wake Fanny ikiwa juzi wangeweza kufanya maajabu ya kugeuza matokeo ya mechi ya kwanza (4-1) na kufanikiwa kwenda Wembley.
Balo alikaririwa na gazeti la Marca akisema: “Ikiwa Real Madrid wataenda kucheza fainali ya Champions League, nitamtoa mchumba wangu alale nao wote." Ingawa baadae alikana kutoa kauli hiyo.
Balotelli aliachana na mama wa mtoto wake wa kike mtangazaji wa TV Raffaella Fico, 25, kisha ndio akaanzisha mahusiano na mwanamitindo Fanny ambaye ana asili ya Ubelgiji
JACKLINE WOLPER AELEZEA SABABU ZAKUITWA WOLPER GAMBE STYLE

Msanii maarufu wa filamu nchini, Jackline Wolper 'amber Rose wa bongo'aelezea jinsi alivyoitwa Wolper Gambe badala ya jila alilopewa awali la Wolper Gangnam.
Akizungumza na Kesheridhiwani BlogSpot alisema jina la Wolper Gangnam lilikuja kutokana na mistari iliyopo kwenye nyimbo ya gangnam style inayosema Opa gangnam sytle.
”Mwanzo watu walibadirisha wimbo wa yule mkorea PSY..ukimsikiliza anavyoimba inasikika Opa gangnam style, ikabadilishwa na kuwa Wolper gangnam style kwasababu ina sound sawasawa. Lakini baadae wakabadilisha zaidi na kuimba Wolper gambe style unajua jinsi neno gambe lilivyo maarufu na raisi kulitumia hapo lina sound poa. Sasa wimbo ulivyoanza ku-kick zaidi ndiyo na jina likawa kubwa zaidi,”
Wolper alisema wapo baadhi ya watu ambao walidhani yeye alitumia jina la Jackline Gambe kwa sababu ya ulevi lakini amesisitiza sio kweli na ni watu tu walioamua kubadilisha katika utamkaji wake.
Friday, May 3, 2013
DOTNATA ADAI KUWEKEWA SUMU KWENYE JUISI
Muigizaji wa filamu nchini Dotnata Rubagumya anadai kuwekewa sumu kwenye juice na mtu asiyemfahamu ambayo imemsababishia matatizo makubwa ya kiafya.
Amesema alianza kuhisi kupandwa na pressure ambapo alilazwa kwenye hospitali ya IMTU na kuambiwa imepanda hadi kufikia 284 huku wakimweleza huenda ni kwakuwa amenenepa sana.Baadaye alifanyiwa uchunguzi wa moyo kwenye hospitali ya Lugalo kabla ya kupelekwa TMJ kwa vipimo zaidi.
Anasema tatizo hilo lilimsabisha ashindwe kuhema, sauti kukata na mara nyingi alikuwa akitapika.
“Nimezidiwa usiku wa kuamkia Jumatano nikakimbizwa tena TMJ ndo sasa ikabidi wanichunguze kwa makini kwanini nakuwa hivi ndo wakagundua nimelishwa sumu takriban mwezi wa nane sasa huyo mtu aliyenipa sumu aliipitisha kwa njia ya juice,” amesema Dotnata ambaye kwa sasa ameokoka.
Akizungumzia sababu za kuwekewa sumu, Dotnata amesema:
“Kila mwanadamu ana mawazo jinsi anavyowaza katika akili yake labda hakupendezewa na mimi niendelea kuishi hivi, labda alifikiria akiniua mimi yeye hatokufa. Lakini natamka wazi kwamba sitokufa nitaishi ili niyasimulie mema ya Mungu. Nimejifunza mtu anaweza kuwa rafiki yako kumbe ndio mbaya wako siwezi kujua ni kwasababu gani, namwachia Mungu.”

Wednesday, May 1, 2013
NSHOMA WA BSS AELEZA SABABU ZA UKIMYA WAKE
MSANII aliyeshiriki mashindano ya kusaka vipaji vya uimbaji bongo star search(BSS) mwaka jana Nshoma Ng'hangasamala Nkwabi aeleza sababu za ukimya wake baada ya mashindano hayo.Nshoma ni mmoja wa walioingia katika tano bora wakati wa kinyang'anyiro,na kuwa kivutio kwa kuimba nyimbo mbalimbali za asili ya kiafrika,
Akizungumza na Keshe hivi karibuni Nshoma alisema ameamua kuwa kimya ili aweze kutunga nyimbo zitakazoweza kuendana soko na kuweza kudumu kwa muda mrefu."Haraka haraka naamini haina baraka hivyo nimeamua kutulia ili niweze kutoa nyimbo zuri zitakazoweza kudumu kwenye soko kwa muda mrefu na ziwe bora kama nyimbo za Mariam Makabe ambaye nakubali mno kazi zake"Alisema.
Nshoma alisema kwa sasa anafanya kazi zaidi ya uimbaji na unenguaji kwenye bendi yake mwenyewe na atakua anauza albamu zake kwenye shoo atakazokua anafanya akiwa na bendi hiyo."Nataka niuze mwenyewe kazi zangu na nitakuwa naziuza kwenye shoo nitakazokua nafanya na bendi yangu,hivyo mashabiki wanahudhuria ndio watakaokuwa wananunua albamu zangu" alisema.
Pia Nshoma alieleza mafanikio mengine aliyoyapata baada ya shindano ikiwa ni pamoja na mkataba wa kila mwaka kufundisha kucheza na kupiga ngoma katika shule ya Music shule iliyopo Ujerumani, shavu la kutunga nyimbo kuhusu katiba mpya na wanawake, mkataba wa kufundisha warembo wanaowania taji la mrembo wa Bagamoyo na kuunda kundi la muziki pamoja na ndugu zake linaloitwa 3sisters.
Nshoma alisema kazi nyingi anazifanya pamoja na familia yake ambapo wanashirikiana katika uimbaji pia yupo dada yao ambae ni mshauri mkubwa mshauri wake mkubwa na baba yake ndiye msimamizi wa kazi zake zote.
Nshoma ni msanii kutoka bagamoyo akiwa anaimba nyimbo za asilia na anayetokea katika familia ya vipaji ikiwa baba yake ni mwalimu wa chuo cha sanaa bagamoyo,mama yake ni mpiga kinanda na yeye pamoja na ndugu zake wakiwa ni wasanii.

Tuesday, April 30, 2013
BABA CHRIS BROWN AVUTIWA NA HUYU KUWA MKWE NA SI RIHANNA
Gazeti la New York Daily News limefanya Exclusive interview na baba mzazi wa mwimbaji staa Chris Brown na kutoa maoni yake kuhusu mahusiano ya kimapenzi ya mwanae na Rihanna RiRi.
Clinton Brown amesema “sioni maisha marefu kwa Chris Brown kuwa na Rihanna, sijawahi kupendezwa na kurudiana kwao, unajua ni lazima kwenye uhusiano wa kimapenzi uwe na mtu sahihi ambae ni hitaji la kweli na linaloweza kuwa lako kwenye maisha, lakini sio kama hivi”
Clinton amesema hapendi kutumia mifano lakini anadhani watu wameona mahusiano ya mastaa kama Whitney Houston, Michael Jackson, Amy Winehouse na wengine”
Kuhusu mrembo ambae angependa kuona anaolewa na mwanae, Clinton amemtaja Jordin Sparks kwa kusema “nimempenda Jordin, ni msichana mdogo lakini mwenye upeo mkubwa… ana akili na heshima
Subscribe to:
Posts (Atom)