Sunday, September 8, 2013
NAMNA YA KUANDAA KEKI YA TENDE.
Unga 3 kikombe
Baking powder 3 Vijiko vya chai
Sukari ½ Kikombe
Tende iliyokatwa ndogo ndogo 2 vikombe
Maji yamoto 2 vikombe
Siagi 4 Vijiko vya supu (au vikombe 2 vya kahawa)
Mayai 2
Cream vikombe 2 Vya KahawaTangawizi ya powder 2 Vijiko vya chai
Kungu manga 1 kijiko cha chai
Mdalasini 1 kijiko cha chai
Hiliki ½ kijiko cha chai
Vanilla 4 vijiko vya chai
Vipimo Vya Karamel
Sukari ya buni (brown sugar) 5 Vijiko vya supu
Siagi 6 Vijiko vya supu
Lozi zilizomenywa na kukatwaNyembamba 1 kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1) Tia maji ya moto katika tende kuiroweka kidogo.
2) Changanya unga na baking powder vizuri katika bakuli.
3) Tia vitu vyote vingine na uchanganye vizuri.
4) Mimina katika bati la duara la kupikia keki ulilolipaka siagi kidogo.
5) Ipikie (bake) katika moto wa 300° kwa muda wa
6) Iweke katika sahani au bakuli la keki na mwagia karamel juu yake, kisha haraka upambie lozi.
Namna ya kutayarisha Karamel
Yayusha siagi katika sufuria ndogo au frying pan kisha tia sukari ya brown.Inapoyayuka, mwagia katika keki.
Saturday, September 7, 2013
MFAHAMU BINTI WA KIDATO CHA NNE ALIEZAA NA DIAMOND PLATNUMZ..!! DIAMOND AKANA..!!
Ni Binti aitwaye Sasha alieleza kuhusu uhusiano wake na Diamond baada ya kuungalinishwa na Binamu wa Diamond,Romey Jones ambaye alikuwa anafahamiana na Sasha huyo kabla ya Diamond.
Diamond alianza kumpenda baada ya kukutana Mlimani City kwa mara ya kwanza akiwa na rafiki zake na uhusiano wao uliendelea mpaka alipofanikiwa kumpata mtoto.
Sasha alisema Diamond alisema amevutiwa kuwa mpenzi wake kwa jinsi anavyofanana na X.girlfriend wake Wema Sepetu.
"Ni kweli nimezaa na Diamond na motto ana miezi mitatu sasa na Diamond ndio alinikatisha masomo yangu.

Friday, September 6, 2013
SNURA:NINA BIFU NA PESA TU.
MSANII maarufu wa filamu na mwimbaji Snura Mushi afunguka kuwa hajawahi kuwa na bifu na Wema wala Shilole zaidi ya kuwa na bifu na utafutaji pesa.
Akizungumza kupitia kipiti cha mitikisiko ya pwani kinachorushwa kupitia radio ya Times FM hivi karibuni Snura alisema hajawahi kuingia kugombana na msanii yeyote kama inavyosemakana bali yeye anafikiria kutafuta pesa zaidi.
Snura alisema Wema ni rafiki yake na hawakuwahi kugombana zaidi ya baadhi ya vyombo vya habari kuandika habari ambazo sio za kweli na kuonyesha akuwa kuna ugomvi kati yao.
Mimi sina bifu na msanii yeyote wala haijawahi kutokea kuingia katika malumbano ninachowaza ni kutafuta pesa kwahiyo mimi nina bifu na pesa"Alisema
Snura alisema kwasasa anafikiria kuanza kufanya nyimbo ya pamoja na msanii maarufu wa muziki wa Taarabu Mzee Yusuph ili kuongeza ladha ya muziki wake.
Msanii huyo ambaye anatamba na nyimbo yake ya nimevurugwa alisema kwasasa anafanya juhudi za kujitambulisha zaidi ndani ya nchi kabla hajaanza kujitangaza kimataifa.

NSHOMA AZIDI KUUTANGAZA MUZIKI WA ASILI NJE YA NCHI.
MWIMBAJI maarufu aliyewahi kushiriki katika mashindano ya Epiq Bongo Star Search Nshoma Nkwabi aahidi kuendelea kuutangaza utamaduni wa Tanzania nje ya nchi kupitia muziki wa asili.
Akizungumza na blog hii hivi karibuni Nshoma alisema kupitia muziki wa asili ambao anafanya ameweza kuitangaza Tanzania katika nchi mbalimbali anazoalikwa kwaajili ya kuimba.
Nshoma alisema kupitia mialiko hiyo kutoka nchi mbalimbali ikiwemo ujerumani,Swizland na Kenya ameweza kutangaza vizuri nchi yake ambapo mbali na kuimba pia nacheza.
"nimekuwa nkipata mialiko mingi kutoka nje ya nchi ambapo mara nyingi nikienda huko naenda kuimba pamoja na kucheza nyimbo mbalimbali za asili"Alisema.
Nshoma alisema mbali na mialiko hiyo sasa hivi yupo katika maandalizi ya maonyesho ya Chicago yanayofanyika Little Theatre yanayofanyika kila mwaka na anaendelea kufanya muziki wa Live katika maonyesho mbalimbali.
Msanii huyo ambaye alipata nafasi ya tano katika mashindano ya Epiq Bongo Search pia katika anafanya matangazo mbalimbali ikiwemo tangazo la Vodacom na mambo ya urembo.

REQUEST FOR ADVERTING YOUR BUSINESS THROUGH MY BLOG.
Kesheridhiwani blogspot(sayari ya wanawake) was established on January 2013 under management of Namkeshe Ridhiwani as CEO and Founder of this blog.
Since then it has been hottest in publishing various news concerning celebrities,fashion,sports,catering from different parts of the word.
From this short time since it has been started more than 38,000 people with different age from different nation arround the world are following this blog.
Hence I request you are advertise your business through this fast growing blog which has potential of being visited and folled by large number of people due our quality,latest and reliable news of women.
Also we have mission which is to be best creator in proving education and updating society through reliable news.
And our costs adverstise on our blog is very cheap compared to the other n you will be required pay for 3 month and for more information contact us.
Our attention is to give top priority to make sure you benefict from your business to advertise your business with us and referred to various place and get more customers.
TANGAZA NASI KATIKA BLOG HII.
kesheridhiwani blogspot(sayari ya wanawake) ni blog inayoandika habari mbalimbali zinazohusu wanawake ziwe ni za kitaifa ama kimataifa.
Blog hii imeanzishwa rasmi January mwaka huu chini ya uongozi wa mwanahabari Keshe Ridhiwani, ambapo kwakipindi hiki kifupi tayari watu zaidi ya 38,000 wa rika na jinsia tofauti wamekuwa wakitembelea kutoka mataifa mablimbali.
Kupitia maelezo hayo mafupi naleta tena ombi kwa wale wote wanaohitaji kutangaza nasi bas wawasiliane na Keshe moja kwa moja kwa namba ambazo zipo juu upane wa kulia.
Kwa bei ni maelewano kati yetu na mteja lakini inahusisha malipo ya kuanzia miezi 3.

Sunday, September 1, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)