Monday, May 13, 2013

AISHA BUI ATAMANI KUA MAMA NA ATOA SIFA ZA MWANAUME WAKUZAA NAE


Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye
waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.

Akizungumza na mwandishi wetu,  Aisha amefunguka kuwa alikuwa kimya kwa sababu kuna mambo alikuwa akifanya yakiwa ni mambo yake binafsi lakini aliweka wazi kutamani
kuwa na mtoto kwa sasa.

" kwa sasa nina nafasi ya kusaka mtoto iwapo atampata mwanaume sahihi na nataka
mwanaume nitakayemzalia anijengee nyumba ya kuishi nitakayoishi na mtoto wangu kisha
awe na uwezo wa kumlea na kumpatia elimu bora" Alisema Aisha.

No comments:

Post a Comment