Wednesday, May 15, 2013

ANGELINA JOLIE AKATWA MATITI

Mcheza filamu mashuhuri duniani amekatwa matiti yote na kutolewa kikazi ikiwa ni hatua ya kuepuka hatari ya kupata saratani ya matiti.
Angelina  mwenye umri wa miaka 37 na mama wa watoto 6 alimpoteza mama yake mzazi kwa ugonjwa huo ambayo alijitibu kwa muda wa miaka 10, hivyo aliamua kuchukua hatua za makusudi ili kuzuia ili kuzuia uwekezano wa yeye kupata ugonjwa huo.

"Ninahisi kupata nguvu kwa uamuzi niliyoufanya na kwa kwakua ninabakia kuwa mwanamke hata baada ya kuondolewa viungo hivyo" Alisema Jolie

Mwigizaji huyo ambaye ameshinda tuzo nyingi  kwa uigizaji amemuelezea mumewe Brad Pitt,kwa kumuunga mkono na kumfariji kwa kila hatua  na kusema kua ametulizwa na kuwa wanaye hawakupata lolote katika matukio ya uchunguzi wa daktari.

 

No comments:

Post a Comment