Sunday, May 12, 2013

NANI KAMA MAMA?'.

Leo tunapoadhimisha siku ya mama duniani,tukumbuke yale mazuri yote tuliyofundishwa na mama zetu.

Tuzidi kuwasaidia kwa kuwaombea mema kwa Mungu na kuwapa moyo kwani wanafanya kazi kubwa sana katika jamii zetu.

Tukianza kuorodhesha sifa za mama nadhani hatutaweza kumaliza.

Nakupenda sana mama yangu!
 

No comments:

Post a Comment