kesheridhiwani


Pages

  • HOME
  • CONTACTS
  • MAPISHI
  • MATANGAZO
  • MAGAZETI
  • FILAMU
  • MUZIKI
  • FASHION
  • HABARI ZA KITAIFA
  • HABARI ZA KIMATAIFA

Tuesday, June 18, 2013

KANUMBA MWINGINE AZALIWA



 






Mama Lulu na mama wa marehemu Steven Kanumba wanaonekana kuwa karibu sana siku hizi na hivyo watu kuzidi kuamini kuwa hawana tofauti tena na kusahau yaliyopita. Dada wa marehemu Steven Kanumba amejifungua hivi karibuni katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na mtoto huyo kupewa jina la Steven Kanumba Jr huku mama mzazi wa Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba wakiwa na furaha sana, Lulu pia alionyesha furaha yake kwa kuzaliwa mtoto huyo kama picha zinavyoonekana hapo chini. Tunawapongeza tena na tena wazazi hao kwa kuwadhihirishia wanajamii kwa mara nyingine kuwa kila mtu ana amani na mwenzake na hakuna tofauti yoyote kati yao. Mtoto huyo amepewa jina la Kanumba kama ishara ya kumuenzi muigizaji Steven Kanumba aliyekuwa maarufu Afrika mashariki na kuanza kujulikana kimataifa. Angalia picha...........


Posted by Unknown at 12:36 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: FILAMU

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

WALIOTEMBELEA

members

ZILIZOPENDWA

  • TUCHEKE KIDOGO LEO....!
  • OFFICIAL RELEASE(Feza Kessy)-Amani ya Moyo
  • FILAMU YA MWISHO YA KANUMBA YAZINDULIWA SIKU YA KUMBUKUMBU YAKE YA MWAKA1
  • Joey Badass Rhyme Partner Capital STEEZ Dead At 19
  • SECOND KENYAN PRESIDENTIAL DEBATE
  • PAPA BENEDICT XVI KUJIUZULU
  • WEMA SEPETU APATA BONGE LA DILI AWAFUNIKA MASTAA WOTE BONGO.
  • HAPPY NEW YEAR
  • AISHA BUI ATAMANI KUA MAMA NA ATOA SIFA ZA MWANAUME WAKUZAA NAE
  • CHEZEEEAAA MADAM WEMA!!!

STORY ZILIZOPITA

  • ▼  2013 (197)
    • ►  11/10 - 11/17 (2)
    • ►  11/03 - 11/10 (3)
    • ►  10/13 - 10/20 (1)
    • ►  10/06 - 10/13 (5)
    • ►  09/22 - 09/29 (4)
    • ►  09/08 - 09/15 (2)
    • ►  09/01 - 09/08 (6)
    • ►  08/25 - 09/01 (4)
    • ►  08/11 - 08/18 (6)
    • ►  07/21 - 07/28 (2)
    • ►  07/14 - 07/21 (3)
    • ►  07/07 - 07/14 (6)
    • ►  06/23 - 06/30 (7)
    • ▼  06/16 - 06/23 (5)
      • HUYU NDIYE MREMBO ALIYETIMULIWA JUKWAANI NA LUNDENGA
      • HOUSEGIRL ANUSURIKA KUJIRUSHA KWENYE GHOROFA KWA K...
      • UKWELI KUHUSU MAMA ALIYEKAA JUU YA PAA AKIZUIA NYU...
      • KABABU ZA KUCHOMA.
      • KANUMBA MWINGINE AZALIWA
    • ►  06/02 - 06/09 (4)
    • ►  05/19 - 05/26 (6)
    • ►  05/12 - 05/19 (4)
    • ►  05/05 - 05/12 (1)
    • ►  04/28 - 05/05 (9)
    • ►  04/14 - 04/21 (3)
    • ►  03/31 - 04/07 (1)
    • ►  03/24 - 03/31 (1)
    • ►  03/17 - 03/24 (6)
    • ►  03/10 - 03/17 (6)
    • ►  03/03 - 03/10 (17)
    • ►  02/24 - 03/03 (16)
    • ►  02/17 - 02/24 (10)
    • ►  02/10 - 02/17 (13)
    • ►  02/03 - 02/10 (12)
    • ►  01/27 - 02/03 (9)
    • ►  01/20 - 01/27 (14)
    • ►  01/13 - 01/20 (9)
  • ►  2012 (2)
    • ►  12/23 - 12/30 (2)

Translate


About Me

Unknown
View my complete profile

widget

VISITORS

BLOG MARAFIKI

  • DINAMARIOS
  • DJ CHOKA
  • DJ FETTY
  • MILLARD AYO
  • SWAHILI WORLD PLANET
Designed by Nurdini Mohamedi(0716143235). Picture Window theme. Powered by Blogger.