HATIMAE LULU YUKO NJE KWA DHAMANA
Lulu akishuka katika gari la polisi baada ya kuwasili mahakamani leoLulu akiingia katika chumba cha msajili wa mahakama ili kukamilisha dhamana yake.
Kutoka
kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana
Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya
LuluLulu (katikati) akitoka eneo la mahakama baada ya kukamilisha dhamana yake
Lulu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) baada ya kupata dhamana leo.
Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake.






No comments:
Post a Comment