Wednesday, February 20, 2013

MABESTE KUIACHIA VIDEO YA 'DOLE' WIKI HII

 

Hit maker wa ngoma ya Sirudi tena kutoka Bhitz "Mabeste"siku chache zilizopita baada ya kumaliza maandalizi ya kuandaa video yake mpya 'Dole' chini ya director Nisher.
Leo kupitia katika ukurasa wa Facebook,Nisher ambaye ni director wa video hiyo mpya ya 'Dole' aliweza kufunguka na kuweka cover mpya ya ku release video hiyo mpya ambayo anatarajia rasmi kuachia siku ya Jumamosi wiki hii.



 DOLE" MUSIC VIDEO SNEAK PICS -  MABESTE FT. DEDDY - DIRECTED BY NISHER.

No comments:

Post a Comment