Sunday, February 17, 2013

HATIMAYE BEYONCE AMUANIKA MWANAE

                                 
   Picha ya Beyonce na mwanae Blue Ivy Carter imesambaa mtandaoni ambapo mtoto huyo anaonekana clear...!! kwenye documentary yake ya HBO "Life is but A dream", Beyonce hatimae anamuonesha Baby Blue bila manguo ya kumficha wala blanket.!
   Lakini picha hiyo kutoka kwenye makala yake imeleak and "the internet street are going nuts".Blue amebadilika lakini kiasi ukilinganisha na picha za kwanza alipozaliwa lakini bado ana mchanganyiko wa sura ya mama na baba yake.

No comments:

Post a Comment