Tuesday, February 5, 2013

PREZZO NA GOLDIE KUFUNGA NDOA FEB 9



        Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali nchini nigeria rapper Jackson Makini aka Prezzo anatarajia kufunga ndoa na mwanamuziki wa nigeria Goldie February9.
       Habari hiyo pia imeandikwa na website ya Big brother Africa harusi hiyo itafanyika jijini lagos,Nigeria. Katika hatua nyingine mwakilishi wa mwaka jana wa nigeria kwenye shindano la Big Brother Africa anatarajia kuanzisha Reality TV show yake.Goldie anaazisha show hiyo itwayo  TRUE FRIENDSHIP" itaonyesha maisha ya kila siku ya mwimbaji huyo wa skibobo,Goldie,yote kama mtu maarufu show hiyo itaanza kuonyeshwa mwishoni mwa mwezi huu..

No comments:

Post a Comment