Monday, February 4, 2013

MWANAMKE MWENYE MISULI KULIKO WOTE

 
Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani.Renee mwaka 2006 alitwaa taji la mwanamke mwenye mwili wa misuli kuliko wote.Ilimchukua miaka 20 hivi kutengeneza mwili huo
Inaonekana ukinyanya vitu vizito na manyonyo yanapotea.Renee aliolewa na bilionea wa Kifaransa na ana watoto wawili wa kike.
 
                            Hapa akiwa ametupia kike na sababu ya mazoezi kifua chake kimepoteza muonekano wa kimwanamke.
                    Akiwa anaonyesha 'kiazi' cha mikono wake
                                                unaweza kuani kama ni mwanamke kweli?
                                 Akiwa gym

No comments:

Post a Comment