Wednesday, January 23, 2013

BIG BROTHER AFRICA YAANZA KUPOKEA MAOMBI

   Lile Shindano la Big Brother Africa  ikiwa ni msimu wake wa8 linatarajia kuanza mwezi May mwaka huu.
   Na kwa vijana mwenye umri kuanzia miaka21,wacheshi,wavumilivu na wanaovutiwa na shindano hilo wana nafasi zuri ya kuanza kujaribu bahati zao.
   Mwaka huu nchi 14 za Afrika zitashiriki na nafasi ya Liberia itachukuliwa na Ethiopia sababu ni kutaka kushirikisha nchi nying zaid, nchi kama Angola,Boswana,Ethiopia,Ghana,Kenya,Malawi,Namibia,Nigeria,Sierra Leone,South Africa,Tanzania,Uganda,Zambia na Zimbambwe.
    Fomu za kujiunga zinapatikana www.Africamagic.tv/bigbrother na pia unaweza kuzipata katika ofisi za Multichoice katika nchi zote 14 kuanzia Mwezi wa Februar1 2013.
      Na litaanza rasmi Jumapili tarehe 26 may amapo washiriki watakaa katika jumba la Big Brother Africa kwa siku 91.
  

No comments:

Post a Comment