Wednesday, January 23, 2013

NYOTA WA POP SHAKIRA AJIFUNGUA

    Mwanamuziki Shakira Mebarak amepata mtoto wa kiume huku mashabiki wakisema alipendeza sana na ujauzito wake.Mzazi mwenzake,Gerard Pique alitangaza kuwa wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina la Milan Pique Mebarak ambapo alisema jina hilo lina maana ya Dear(mpenz).

No comments:

Post a Comment