Juisi ya embe na passion ni juisi rahisi kuandaa na pia ni juisi zuri kiafya.Unaweza kutengeneza kwaajil ya nyumbani au unaweza kubeba kwaajil ya kazini kuliko kununua juisi ambazo zina kemikali ambazo sio nzuri kwa afya.
Mahitaji
Passion fruit 8
Embe 6 za kiasi
Maji kiasi
Sukari kidogo
2. Saga embe na maji kidogo kisha changanya na juisi ya passion.
3. Tia sukari kidogo ikiwa tayari kwa kunywewa.
Lakini unaweza kutumia mchanganyiko wa maembe na ma'passion kula bila kusaga mana vinakazi moja katika mwili wako.
Unapata vitamini na inakukusaidia kupata choo vizur na faida nyinginezo.
Lakini unaweza kutumia mchanganyiko wa maembe na ma'passion kula bila kusaga mana vinakazi moja katika mwili wako.
Unapata vitamini na inakukusaidia kupata choo vizur na faida nyinginezo.
No comments:
Post a Comment