Wednesday, January 23, 2013

PETER WA 'P SQUARE' APATA MTOTO WA PILI

    Peter Okoye wa kundi linaloundwa na ndugu wawili Peter n' Paul(p square)na mkewe jana wamebahatika kupata mtoto wao wa pili wa kike waliyempa jina la'Aliona' mtoto huyo alizaliwa huko San Francisco nchini Marekani ambako Peter yuko nchini humo kwa mapumziko ya Familia yake amezibreak good news hizo kwa kuweka picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa hospital bega kwa bega na mke wake ambapo kwenye picha ya juu ameandika'thanks u Lord...am the new Daddy in Town....And she is so beautiful and adorable.
   Peter akiwa na sura ya fuhara baada ya kupata mtoto wake wa pili.Na pia ana mtoto mwingine wa kiume ambae ndo mtoto wa kwanza kwake na mkewe aitwae Cameron.

 
ameandika:Mother and Child are perfectly fine...thank u God
 
 
 

 
 

No comments:

Post a Comment