Wednesday, January 23, 2013

PRODUCER BAB CHIDY WA MY RECORDS NA UJIO WAKE MPYA

        Said Abdullah a.k.a Bab chidy ni producer ambae anafanya kazi katika studio 'my records' chini ya Boss wake Mo racka,mwaka jana alishatengeneza nyimbo ya flora mvungi na nisha wa bongo movie wakishiriana na Mo racka,ngoma inaitwa sinaga.Na sasa anawataka wapenzi wa muziki wakae tayari kwa ujio wake wa project zake zake mpya kwa mwaka huu.
              kutoka kushoto ni Bab Chidy,Lamar pamoja na Cyril
                                                                hapa akiwa studio
                     Hapa akiwa na Boss wake Mo Racka(kushoto).

No comments:

Post a Comment