Wednesday, January 23, 2013

AY AWEKWA KWENYE JARIDA LA HESHIMA KENYA

AY ambaye jina lake halisi ni ABWENE YESAYA ana mengi aliyoyafikia na kumfanya apate heshima.Tukianza na tuzo za chanel O aliyoipata mwaka jana(video bora ya Afrika) kwa wimbo wake"i dont wanna be alone".AY ndie msanii wa Tanzania ambaye video zake zinachezwa kwenye tv za kimataifa kama speak with your body,part zone
Pia anang'ara kwenye video aliyoshirikishwa na msanii wa nigeria Goldie Harvey"skibono".Tayari ana wimbo uliokamilika aliofanya na Sean Kingston,na pia ana kampuni yake inaitwa UNITY ENTERTAIMENT inaendelea kukua kw sasa ikiwa na wasanii kama Ommy Dimpozi,Feza Kessy na Stereo kwenye roaster yake.

No comments:

Post a Comment